Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Kwa kweli mpaka sasa hakuna anayeweza kusimama kwaajili ya upnzani yamebaki tuu majina ya vyamaNdivyo ilivyo katika nafsi yangu kwa muda mrefu sana katika anga za siasa za Tanzania.
Freeman Mbowe kwangu mimi hajawahi kuwa na ushawahi wa aina yoyote ile, sio mpigania haki wala uhuru. Binafsi Imani yangu tangu enzi hizo najua Mbowe anafanya biashara ya siasa kupitia chama cha siasa yaani Chadema.
Nawapa pole watu wote wenye Imani na Freeman Mbowe na Chadema yake.
Siku hizi wanasiasq wanakemea uovu kisharobaro na kinyolonyolo.
Tuna upinzani ushuzi wanaoishi kwenye ghetto la popobawa.
Karibu ulingoni tubutue kwenye ulingo wa akili
Wadiz
kwakwelii iendelee kunyesha tu tutajua pakukingaa
chadema ya sasa so sawa na ya miaka iyookwa kweli mpaka sasa hakuna anayeweza kusimama kwaajili ya upnzani yamebaki tuu majina ya vyama
Ndivyo ilivyo katika nafsi yangu kwa muda mrefu sana katika anga za siasa za Tanzania.
Freeman Mbowe kwangu mimi hajawahi kuwa na ushawahi wa aina yoyote ile, sio mpigania haki wala uhuru. Binafsi Imani yangu tangu enzi hizo najua Mbowe anafanya biashara ya siasa kupitia chama cha siasa yaani Chadema.
Nawapa pole watu wote wenye Imani na Freeman Mbowe na Chadema yake.
Siku hizi wanasiasq wanakemea uovu kisharobaro na kinyolonyolo.
Tuna upinzani ushuzi wanaoishi kwenye ghetto la popobawa.
Karibu ulingoni tubutue kwenye ulingo wa akili
Wadiz
Ndivyo ilivyo katika nafsi yangu kwa muda mrefu sana katika anga za siasa za Tanzania.
Freeman Mbowe kwangu mimi hajawahi kuwa na ushawahi wa aina yoyote ile, sio mpigania haki wala uhuru. Binafsi Imani yangu tangu enzi hizo najua Mbowe anafanya biashara ya siasa kupitia chama cha siasa yaani Chadema.
Nawapa pole watu wote wenye Imani na Freeman Mbowe na Chadema yake.
Siku hizi wanasiasq wanakemea uovu kisharobaro na kinyolonyolo.
Tuna upinzani ushuzi wanaoishi kwenye ghetto la popobawa.
Karibu ulingoni tubutue kwenye ulingo wa akili
Wadiz
Kwenye harakati za Kampeni za Siasa katika Uchaguzi Mkuu wa Kwanza wa vyama vingi hapa Tanzania Mwaka 1995, Mwl. Julius Nyerere akiwa mjini Morogoro ktk mkutano wa kumpigia kampeni aliyekuwa Mgombea wa CCM Bw. Benjamin W. Mkapa aliwahi kusema hivi:-Ni ngumu sana kumuamini bwana yule
tusubirini 2025 kampen zitakua tamuu atrThat's why kuna waamini Kristo na waamini mohammed
Kuna waamini mungu na waamini mbuzi
Hatuwez kuwa Sawa
So wewe bakia na Imani yako ila kuna watu wanajua mbowe kafanya nini and Chama chake amekifikisha wapi Kwa nguvu zake
tusubirini 2025 kampen zitakua tamuu atr
Mbowe hana akili zenye uwakilishi mtambuka ana nadharia za ukipepeo. Na akiwa Tanga kwenye msiba wa kibao amedhihiri hilo, hawezi kuitisha press conference after every three days kupigania haki na uhai wa waliopotea.Ulitaka Mbowe afanyeje? hapa Tanzania kuna chama gani cha umpinzani kilicho imara kama chadema? au ulitaka aanzishe jeshi lake? Sema tu unawivu na biashara zake
Zipo baadhi ya nchi chache sana Zina Chaguzi za Siasa zilizo huru, Mfano hai ni nchi ya Afrika ya Kusini.Africa kuwa na uchaguzi huru ni ngumu
Ingia chimbo wewe mwenyewe iwapo umeona mapungufu na uache kulialia.Ndivyo ilivyo katika nafsi yangu kwa muda mrefu sana katika anga za siasa za Tanzania.
Freeman Mbowe kwangu mimi hajawahi kuwa na ushawahi wa aina yoyote ile, sio mpigania haki wala uhuru. Binafsi Imani yangu tangu enzi hizo najua Mbowe anafanya biashara ya siasa kupitia chama cha siasa yaani Chadema.
Nawapa pole watu wote wenye Imani na Freeman Mbowe na Chadema yake.
Siku hizi wanasiasq wanakemea uovu kisharobaro na kinyolonyolo.
Tuna upinzani ushuzi wanaoishi kwenye ghetto la popobawa.
Karibu ulingoni tubutue kwenye ulingo wa akili
Wadiz
Mbowe kapitiliza.uungwana ..nadhani mwenyekiti angekua Lema tungemfurahia .juzi kanikwaza sana Mbowe kutuliza ghasia...angeacha tu kama haoni..Ndivyo ilivyo katika nafsi yangu kwa muda mrefu sana katika anga za siasa za Tanzania.