Sijawahi kuwa na rafiki wa kudumu

Changamoto kubwa iliyopo siku hizi ni kwamba mtu unayetamani awe rafiki yako wa kudumu naye ana rafiki yake...kwahyo anashindwa ku-balance vitu Fulani....umbea, majungu, masengenyo anashindwa kuviepuka...nadhani Kwa sasa rafiki yangu Mimi binafsi ni SIMU yangu ya mkononi tu..
 
Rafiki yangu wa kweli ni huyu kati kati ya meza
 

Attachments

  • Screenshot_20241202_210519.jpg
    233.9 KB · Views: 4
Si kweli,

Bila mawasiliano na kuonana urafiki hupungua na kufa. Leo unaweza ukakutana na rafiki wa utotoni mkajikuta hata hamna story kivile

Ila utashangaa mfanyakazi mwenzake yuko karibu naye kuliko wewe mliyetoka mbali
Nadhani tunatofautiana mitizamo, mimi napenda sana ukaribu na watu, bt hua sipendi mazoea, coz mazoea huondoa kuheshimiana na kusababisha changamoto zisolazima.
 
Mazoea ndiyo nini kwenye urafiki?
Kutokua na mipaka, wengi hudhani ukiwa na urafiki na mtu ni sahih kumweleza kila kitu, jambo ambalo badae huleta changamoto, hasa pale utakapoyasikia kwingine, baadhi ya mambo ambayo ulimweleza rafiki yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…