Sijawahi ona Kiboko ya Wachawi kashika biblia, nina wasiwasi hata Biblia haijui

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Huyu jamaa kweli alikuwa tapeli aliyewasha taa haikuhitaji mwanga kumuona. Ni tapeli, muhuni afu Lina kejeri na jeuri za kishamba

Hasomi hata Biblia wala kutumia mifano kwa kusoma neno la Biblia mpaka ibada inaisha yeye mda wote yupo busy kufanya maigizo ya kutoa mapepo na kuleta ushahidi wa uongo

Wenzako Akina Mwamposa, Gwajima, Mwakasege, Lusekelo na Antony hawajionyeshi angalau wanazugia kwa biblia. Sasa wewe hata biblia huna rafiki angu 🤣🤣🤣🤣
 
Huyu jamaa kweli alikuwa tapeli aliyewasha taa haikuhitaji mwanga kumuona. Ni tapeli, muhuni afu Lina kejeri na jeuri za kishamba

Hasomi hata biblia wala kutumia mifano kwa kusoma neno la biblia mpaka ibada inaisha yeye mda wote yupo busy kufanya maigizo ya kutoa mapepo na kuleta ushahidi wa uongo

Wenzako Akina mwamposa, gwajima, Mwakasege, lusekelo na Antony hawajionyeshi angalau wanazugia kwa biblia. Sasa wewe hata biblia huna rafiki angu 🤣🤣🤣🤣
Dini biashara tu siku hizi ngoja na mm nifungue kanisa alaaa
 
Huyu jamaa kweli alikuwa tapeli aliyewasha taa haikuhitaji mwanga kumuona. Ni tapeli, muhuni afu Lina kejeri na jeuri za kishamba

Hasomi hata biblia wala kutumia mifano kwa kusoma neno la biblia mpaka ibada inaisha yeye mda wote yupo busy kufanya maigizo ya kutoa mapepo na kuleta ushahidi wa uongo

Wenzako Akina mwamposa, gwajima, Mwakasege, lusekelo na Antony hawajionyeshi angalau wanazugia kwa biblia. Sasa wewe hata biblia huna rafiki angu 🤣🤣🤣🤣
Waliokuwa wanaliwa pesa zao bado wanamlilia arudi aendelee kuwapuna, Watanzania wengi mazuzu kwenye masuala ya imani wanaliwa sana pesa zao
 
biblia huna rafiki angu
Biblia utajisomea nyumban rafiki yangu mwalimu wa mathe ..
Uko Tz nilikuja kusanya Hela kuja kujenga hekalu hapa kinshasha Kongo Ili niishi na dada yenu wa kichaga aliyenipa akili yakuwapigaa wa Tz wenzakeee ..

Karibu Kongo ,uku cjulikan km kiboko ya wachawi ,,uku wananiitaa PAPA WHITE
 
Back
Top Bottom