Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Mkuu wewe si unadeal na waalimu tu umehamisha jeshi kwa wachungaji feki, sema tujue basi......Huna akili,
Dini biashara tu siku hizi ngoja na mm nifungue kanisa alaaaHuyu jamaa kweli alikuwa tapeli aliyewasha taa haikuhitaji mwanga kumuona. Ni tapeli, muhuni afu Lina kejeri na jeuri za kishamba
Hasomi hata biblia wala kutumia mifano kwa kusoma neno la biblia mpaka ibada inaisha yeye mda wote yupo busy kufanya maigizo ya kutoa mapepo na kuleta ushahidi wa uongo
Wenzako Akina mwamposa, gwajima, Mwakasege, lusekelo na Antony hawajionyeshi angalau wanazugia kwa biblia. Sasa wewe hata biblia huna rafiki angu 🤣🤣🤣🤣
Waliokuwa wanaliwa pesa zao bado wanamlilia arudi aendelee kuwapuna, Watanzania wengi mazuzu kwenye masuala ya imani wanaliwa sana pesa zaoHuyu jamaa kweli alikuwa tapeli aliyewasha taa haikuhitaji mwanga kumuona. Ni tapeli, muhuni afu Lina kejeri na jeuri za kishamba
Hasomi hata biblia wala kutumia mifano kwa kusoma neno la biblia mpaka ibada inaisha yeye mda wote yupo busy kufanya maigizo ya kutoa mapepo na kuleta ushahidi wa uongo
Wenzako Akina mwamposa, gwajima, Mwakasege, lusekelo na Antony hawajionyeshi angalau wanazugia kwa biblia. Sasa wewe hata biblia huna rafiki angu 🤣🤣🤣🤣
Kumbuka hata aliyedanganywa na shetan ni mwanamke mkuuWanawake na hawa manabii ni kidole na pete
Biblia utajisomea nyumban rafiki yangu mwalimu wa mathe ..biblia huna rafiki angu
Geordev uyooo..yupo mwingine amekaririwa akisema " Biblia imekosewa baadhi ya maeneo/sura"