Sijawahi ona Kiongozi mwandamizi Saud Arabia mwenye asili ya kibantu au rangi nyeusi kama ilivyo Marekani na ulaya, shida Nini hasa? Mila? Imani?

Mkuu,

Unamfahamu Prince Bandar bin Sultan Al Saud?
Bandar.jpg

Nitosheke kusema inaonekana Saudi Arabia akuna ubaguzi mm kipimo changu ligi ya Saudi Arabia naangalia mashajiki apana Wabantu wenzangu inaonekana wanakula na kushiba asa. Na wapo wengi si katika wachazaji lkn mashabiki wanakuwa wengi sana na washangalia kwapamoja na na Warabu weupe kias utapenda sana mm nainjoy sana kuona wabantu wenzangu wameyatapatia maisha na wapo na aman. Tofaut na Ulaya utaona wachezaji wengi Weusi lkn tatizo kwenye mashabiki uwaoni na ata ukimuona mmoja mmoja lkn utamuona kama kajitenga uwez ona seem kwenye mashabiki wengi wale wenyekuimba na kusimama na mweusi awemo!! utaona kajificha kuleeee shida tuwe Wakweli wazungu Wabaguzi sana lkn ndio ivo mtu anaona afadhali avumilie tu nyumbani nako JaU. Tuchunguze tu kwenye mashabiki wa michezo yoyote ndio tutajua Weusi wenzetu wapi wanaishi vizuli,,,
 
Mpira wa Miguu ni mchezo wa Maskini, waafrika/watu weusi wengi wanacheza kila mahali sababu ndio kazi inayoweza kuwaingizia kipato bila kuwa na ulazima wa Elimu au connection
 
Kwa hio wajifunze kutoa huduma ya yaas kama wenzao wa kiarabu?
Tigo? Hahaha. We jamaa bhana. Hivi Kwa nn Zanzibar na Tanga na Mombasa na Dar ndo kuna ongoza Kwa ushoga? Na kobazi ndo majority ya wakazi wa hayo maeneo
 
Nitosheke kusema inaonekana Saudi Arabia akuna ubaguzi mm kipimo changu ligi ya Saudi Arabia naangalia mashajiki apana Wabantu wenzangu inaonekana wanakula na kushiba asa. Na wapo wengi si katika wachazaji lkn mashabiki wanakuwa wengi sana na washangalia kwapamoja na na Warabu weupe kias utapenda sana mm nainjoy sana kuona wabantu wenzangu wameyatapatia maisha na wapo na aman. Tofaut na Ulaya utaona wachezaji wengi Weusi lkn tatizo kwenye mashabiki uwaoni na ata ukimuona mmoja mmoja lkn utamuona kama kajitenga uwez ona seem kwenye mashabiki wengi wale wenyekuimba na kusimama na mweusi awemo!! utaona kajificha kuleeee shida tuwe Wakweli wazungu Wabaguzi sana lkn ndio ivo mtu anaona afadhali avumilie tu nyumbani nako JaU. Tuchunguze tu kwenye mashabiki wa michezo yoyote ndio tutajua Weusi wenzetu wapi wanaishi vizuli,,,
Basi chagua dada yako akawe house girl Uingeleza au Saudia?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Usiku mwema
Kwanini umeangalia Saudi arabia peke yake wakati nchi zinazotawaliwa na watu weupe watupu ziko nyingi?
Kwani Misri, Irani , China, Japan, India, Korea, Urusi na Pakistan ulishaona huko mbantu kaingia serikalini angalu kawa waziri tu au mkuu wa mkoa ?
 
Tigo? Hahaha. We jamaa bhana. Hivi Kwa nn Zanzibar na Tanga na Mombasa na Dar ndo kuna ongoza Kwa ushoga? Na kobazi ndo majority ya wakazi wa hayo maeneo
Kwa sehemu za dar , Zanzibar na Tanga,Ayo maeneo uliyoyataja ndo yanaongoza kupokea wahamiaji wengi kuliko sehemu yeyote hapa Tanzania,na iyo ni tangu enzi za ukoloni musijtoe fahamu,
 
Back
Top Bottom