WAZUNGU WABAGUZI tafuta mtu aliekaa Ulaya japo miaka2 atakwambia!! Mzungu ataki akuone popote ata baaa med ataki kuudumiwa na mweusi supermarket seem ya kulipia wakiona kuna mweeusu wapo tayali wakae foleni lkn waudumiwe na Mzungu mwenzao. Ata public transport ni shida ukiwa ww dreva basi tu watu wakija Africa wanasifia tu ulaya msijue wanayopitia lkn Mzungu tena mate ata kuwa rafiki nao uwe makin sana.Basi chagua dada yako akawe house girl Uingeleza au Saudia?