Tusitake kuiga kila kitu wazungu, hâta sisi tunaweza kubuni vya kwetu!,
Katika hili Bunge la Katiba, KURA lazima iwe WAZI. Kwanini ufiche kura na katiba yetu wote, Kuna wasaliti Wa taifa na tunataka tuwajue.
NAUNGA MKONO HOJA KURA ZIPIGWE HADHARANI.
Wewe unaye taka kura ya wazi ndiye msaliti namba moja.acheni ubabe kura ni siri.