Sijawahi onana na mwanaJF yoyote physically

asante kwa kumpa ukwel asee maana watu wengine hujifanya kila kitu wanajua wao

Mkuu ni vile tulishapostiwa huku kuwa JF ilianzishwa 2006-2007 tena kuna interview ya mmoja wa waanzilishi na post ya interview yake ipo.
 
Ungekuwa na umri huo usingekuwa unaimba imba ule wimbo wako wa kipuuzi 'usa'

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:.
 
utawafahamu tu....mi nimekuta na members wengi ila niliowahi kuongeanao kuhusu jf tukikutana ni wawili tu...
 
Mie si kuwaona tu,japo ningefurahi hata kuwaskie kwa simu.Mwenye kuwa tayar aniPM tafadhar
 
Na je taarifa za matukio yanayowakumba members huwa zinajulikanaje kwa moods mpaka sisi tunapata posts? Mfano vifo vya M.Mtoi,Watu8 n.k

Watu8 kafariki mbona mugeni katika hili ebu nijuzeni.
 
Kama una hela nitumie nije ulipo, kwa maelekezo zaid njoo pm fastaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…