SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
hao ni maarufu ww SAA mbovu na wanatumia original names
Hao wengine ni katika kufanya busness hususan kupitia matangazo madogo madogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao ni maarufu ww SAA mbovu na wanatumia original names
Jf Second Edition
asante kwa kumpa ukwel asee maana watu wengine hujifanya kila kitu wanajua wao
Mimi naitwa Richard Mugizi.
Nina miaka 82.
Sina mke, mtoto, wala mjukuu.
Kwetu ni Same.
Ningependa kukutana na wewe fizikale.
Ungekuwa na umri huo usingekuwa unaimba imba ule wimbo wako wa kipuuzi 'usa'
Jirani siku za hapa karibuni upo bize sana kuulizia jinsia teh kwanini tu usiende love connect ha ha ha ha
humu baadhi ya watu wamepinda madam
Nlitaka nijuwe mapema jirani...love connect yangu ni hapa
Naona unapambana kwakweli teh hadi mwezi huu uishe bila shaka kitaeleweka
Na je taarifa za matukio yanayowakumba members huwa zinajulikanaje kwa moods mpaka sisi tunapata posts? Mfano vifo vya M.Mtoi,Watu8 n.k
Ha haa jirani....
Hivi wewe nliwah kukuliza? Kama sijawahi nataka nkuulize nawewe
Mi jinsia yangu hadi kwa mkemia ndo utaijua
Watu8 kafariki mbona mugeni katika hili ebu nijuzeni.
Mi jinsia yangu hadi kwa mkemia ndo utaijua