nimekua member wa humu jamvini almost zaid ya mwaka bt cjawahi mfaham memba yoyote kwa kumuona I wish nionane hata name mmoja turn isijekua hua nachart na maroboti, cc illovo, smart911, Evelyn salt, Hathrony, na wengineo
Mimi niko tayari tuonane ni PM tafadhalinimekua member wa humu jamvini almost zaid ya mwaka bt cjawahi mfaham memba yoyote kwa kumuona I wish nionane hata name mmoja turn isijekua hua nachart na maroboti, cc illovo, smart911, Evelyn salt, Hathrony, na wengineo
We mtoto una maneno tamani siku moja nikuoneToka nje tuonane nipo hapa getini
Unapenda uonane na naninimekua member wa humu jamvini almost zaid ya mwaka bt cjawahi mfaham memba yoyote kwa kumuona I wish nionane hata name mmoja turn isijekua hua nachart na maroboti, cc illovo, smart911, Evelyn salt, Hathrony, na wengineo
geti la Loleza girls au..?? maana nimetoka sikuoni..Toka nje tuonane nipo hapa getini
Mpwa umemaliza!Nenda pale Wizara ya Kilimo ulizia mtu mmoja anaitwa Mwigulu Nchemba ni member humu. Au pale Wizara ya Afya getini asubuhi saa moja na nusu utakutana na mtu anafunga geti kwa waliochelewa kazini na ulizia Dr Kigwangwala utamkuta ni mmoja wao wa waliopo getini.
Wapo wengi tuu, kwani wewe mikutano ya ccm ya kampeni ulikuwa huhudhuriii? Kuna jamaa alikuwa anapiga gitaa wakati mwingine akipewa nafasi anamwaga matusi sana naye ni member humu. Au wewe ulikuwa unawataka wakina @Evelny Salt tuu?