Sijawahi onana na mwanaJF yoyote physically

nimekua member wa humu jamvini almost zaid ya mwaka bt cjawahi mfaham memba yoyote kwa kumuona I wish nionane hata name mmoja turn isijekua hua nachart na maroboti, cc illovo, smart911, Evelyn salt, Hathrony, na wengineo

Hivi huwa ni lazima?
 
Mimi niko tayari tuonane ni PM tafadhali
 
Nakaa kwa mama Tandale njoo tuonane Manzeae kwa mfuga mbwa
 
nimekua member wa humu jamvini almost zaid ya mwaka bt cjawahi mfaham memba yoyote kwa kumuona I wish nionane hata name mmoja turn isijekua hua nachart na maroboti, cc illovo, smart911, Evelyn salt, Hathrony, na wengineo
Unapenda uonane na nani
 
Watu tunawaza kubadilu username zetu humu ww cjui unawaza nn ,, nenda jukwa l mahusiano kulee.,Ukiweza kubadili username yako hapa JF , nahsi utaonana na watu wengi xana physicall na utajua vitu vingi humu ndani
 
Nenda pale Wizara ya Kilimo ulizia mtu mmoja anaitwa Mwigulu Nchemba ni member humu. Au pale Wizara ya Afya getini asubuhi saa moja na nusu utakutana na mtu anafunga geti kwa waliochelewa kazini na ulizia Dr Kigwangwala utamkuta ni mmoja wao wa waliopo getini.
Wapo wengi tuu, kwani wewe mikutano ya ccm ya kampeni ulikuwa huhudhuriii? Kuna jamaa alikuwa anapiga gitaa wakati mwingine akipewa nafasi anamwaga matusi sana naye ni member humu. Au wewe ulikuwa unawataka wakina @Evelny Salt tuu?
 
Mpwa umemaliza!
 
Back
Top Bottom