Super human
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,147
- 749
- Thread starter
- #21
Kwa moyo mkunjufu kabsa nimeamua kuachana name wazo hili, bora tubaki tu hivi hivi tuendelee na maisha yetu jf kama kawa bt tupo pamoja sana ndugu zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jaribu kuwauliza marafiki zako kama ni members humu. hutakosa mmoja. kutokea hapo utaendelea kuwajua wengine. kuna pia wanaotumia majina yao halisi. wako wengi.
------ nn!!uonane nae ili iweje!! Kuna member wana more than 10 yrs hajawahi hata kuomba kuonana na member sembuse weye!! Hapa cha msingi ni kutoa hoja na kupata majibu from greater thinkers na si vinginevyo. Ama kweli JF imevamiwa
Kwa moyo mkunjufu kabsa nimeamua kuachana name wazo hili, bora tubaki tu hivi hivi tuendelee na maisha yetu jf kama kawa bt tupo pamoja sana ndugu zangu
Eeeh mbona umechange mawazo gafla gafla hivi? Aiiii wewe tuonane bwana
mi nishakuons.sana
nimekua member wa humu jamvini almost zaid ya mwaka bt cjawahi mfaham memba yoyote kwa kumuona I wish nionane hata name mmoja turn isijekua hua nachart na maroboti, cc illovo, smart911, Evelyn salt, Hathrony, na wengineo
mi nikifa wapo watakaowaambia hbr zangu
------ nn!!uonane nae ili iweje!! Kuna member wana more than 10 yrs hajawahi hata kuomba kuonana na member sembuse weye!! Hapa cha msingi ni kutoa hoja na kupata majibu from greater thinkers na si vinginevyo. Ama kweli JF imevamiwa
hapana Madam huku kwa kufahamiana sio salama kabsa aseee
Binafsi nilishaonana na wanajf wa 4 na mmoja kati yao sasa ni marehemu ambae ni M. Mtoi (R.I.P)
Correction: Hakuna member mwenye zaidi ya miaka 10, JF imeanzishwa 2006-2007.
Kwanini sio salama kwani una makosa?
Correction: Hakuna member mwenye zaidi ya miaka 10, JF imeanzishwa 2006-2007.