Sijawahi pata pm hata 1 tangu nifungue hii akaunti. Nifanyeje nipate PM za warembo?

Hivi kumbe baadhi yetu tumejiunga JF kwa ajili ya kupata PM za warembo, maweee!

Vv
 
Pole sana, Muone mshana jr akusafishie nyota naamini akikamilishia kazi yako akina miss chagga, miss natafuta ,shunie etc. Watajileta wenyewe.
Ok kweli huyu mshana jr unaweza kuwa ni ushauri mzuri
Maana kuna mamiss kwelikweli humu, ila mi hata salamu tu hawanitungulii yangu
 
Hahahaha nimewahi kupokea pm moja tu ya mdau akiniomba nimtumie vitabu.

Mkuu endelea kutuwakilisha.
 
Check na HarmRapa atakupa ma technics ya ukweli...
Mh jamaa ana risk sana , sasa juzi ile bastola ya usalama wa nape ingemponyoka ingekuwaje?
Mshana aweza kuwa suluhisho kama ushauri wa jamaa hapo juu na kama sitapata mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…