Sijawahi penda

NASS_BZ

Member
Joined
Feb 27, 2011
Posts
11
Reaction score
2
Jamani uplayer mmbaya. Nishaplay sana na i had no pain to any woman hata anifanyeje. But sasa kuna mdada huyo duh! Tukikwaza tu kidogo ka moyo kananiuma. Yaani nampenda mwanzo mwisho ile sijawah kupenda na sijawaza hata msichana mwingine. Hivi hii hali ya kawaida kweli?
 
Ndo ushakua hivyo. . na ndo UNAYAONA hivyo.
 
acha ujinga wewe, inabidi uhustle sana dunia ya sasa nikuhustle achana na mapenzi hayatokusaidia!
 
Umeyaanza lini mapenzi maana siku hizi neno nakupenda limebaki mdomoni moyoni halipo hilo neno. So acha kupenda sana mkitemana utaumia sana
 
Acha mambo ya ajabu unataka kupenda nini sasa? usithubutu kabisa kufanaya ujinga wa kupenda we kijana, acha kabisa tabia hiyo.
 
Kinachokusumbua kikubwa ni kujitambua uko wapi na unahitaji nini na kwa wakati gani!
Tulia au nenda kwa watalaam wa Seikolojia upate ushauri kilingana na umri wako!
sawa!
 
Muone kungwi ndio umeingia ukubwani hivyo....Halafu waambie wazazi waalike goma la segere
 
Nani kakwambia hayasaidii. Am hustler than u thnk and than u can.
 
Nani kakwambia hayasaidii. Am hustler than u thnk and than u can.

Mweleze huyo akuelewe, si majemedari wala maprofesa.......wote huwa wanakwama!! Jiachie kijana, kupenda kupo na kutaendelea kuwepo......ikitokea umeumizwa Inshallah unaendelea zako mbele!!!
 
subiri siku atakuliza weweeeee ulie kama toto dogo.

malipo hapa hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…