Sijawahi penda

Sijawahi penda

Umeanza kuwa na shauku na madame.

Je umeshawacha ule mchezo wako bafuni? Kama kweli unapenda basi usirudie huo.
 
Kuondoa wivu mtupie mimba kaka utakaa kwa amani mbaya
 
Ma player ni vigumu sana kukiri wanapokamatwa(kufa kimahaba)... Nahisi kuna vitu Umelishwa.. Mcheki kalumanzila mapema..!
 
muone kungwi ndio umeingia ukubwani hivyo....halafu waambie wazazi waalike goma la segere

yeeeeeeeeeeeeeenanenane;;;;; hapo kwenye red mzee; mh!! Machale kundesa, wewe ni mgosi tuuu!!!!!!!!!!!! Mosile ni zeze?? Utighambile segere kyikyi???
 
Back
Top Bottom