ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nieleweshe mkuu jf kisima cha maarifaLabda huelewi maana ya City Center, ukiijua utaelewa huelewi
Inategemea na shamba penyewe. Mimi kwakweli sipend unakaa sehemu vitu vingine hamna kabisa.Na mashambani ndio sehemu nzuri kupumzika , mjini ni mishemishe tu.
Sure.Inategemea na shamba penyewe. Mimi kwakweli sipend unakaa sehemu vitu vingine hamna kabisa.