Sijawai kujihusisha na mapenzi, haya ndio matatizo ninayopata sasa

INSIDER MAN

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2018
Posts
2,005
Reaction score
19,579
Wakuu maisha yangu yote sijawai kujihusisha na mapenzi, nilikua napendwa sana na galz but nilikua sina time nao. Wakati nipo 6 niliingia kwenye mahusiano na dada m1 but nilimwacha bila sababu yoyote ya msingi tulidumu kwa mwezi tu. Sijawai kusex ndugu zangu, Nilikua nafanya nae romance lazima nimwage wazungu nakua sina ham tena ya romance. Kutokana na kulelewa malez ya kimungu na my family na ushaur niliokuwa napewa na wazaz niliogopa sana kufanya mapenz hasa niliambiwa kuna UKIMWI.

Since nmeingia college sijawai kujihusisha na mahusiano nilikua busy sana na shule hata madem nilikua sina time nao. Nimeishi maisha ya usingle kwa miaka3 yote ya chuo. Baada ya kumaliza chuo nilibahatika kupata mpenzi mwez8, tulipendana sana but yeye alikuw anasoma bado. Kutokana niliona ni muda wangu sahihi wa mm kuanza mahusiano.

Miaka yangu yote ya usingle sijawai kuwa addicted na puli japo nilikua napiga sometimes (rarely). Nipeni wanajf abt this.
 
Pole sana mkuu, ila usi-complicate sana kwenye papuchi.. Hata ukipiga hiko kimoja na ukaridhika haina shida..
Demu akikwambia huwezi, hajsridhika potelea mbali hakuna mtu aliyepata prize kwenye love.. Kila mtu apambane na hali yake
 
Haha kichupa tu hiko hakuna lingine, fanya mazoezi, kula vyakula vya asili, acha kuangalia ngono(najua unaangaliaga), usiwazie game siku mtakayopanga ku-do &na mpenzi wako awe mbunifu kdg....

Alafu nakumbuka ulisema upo tu nyumbani huna kazi na hutaki kutafuta,hizi elfu 30 za lodge unazipatia wapi chief...? Au ushapata kazi...[emoji81][emoji81][emoji81]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tundu hukawa hulioni.
Umenikumbusha mbali sana. Manzi nae hakujiongeza.
Actually nimeamini kila kitu kinahitaji uzoefu ili mambo yaende vizuri,
Nakumbuka kipindi Niko Seco madarasa ya chini nilipata demu na alikuwa the first.. Kiukweli wote tulikutana Bikra..
Aisee tuwawahi kuvuana chupi Mara mbili ila sikuwahi kuzama ndani mwa yule dogo.. Sembuse na ugeni wa mambo nilikuwa naishia juujuu tu..
Mwishoni namaliza form 4 nilipata dogo mwngine ye alikuwa form 2, nashukuru yule dogo alikuwa ameshawahi haya mambo na alinisaidia vizur kunisetia set mirror maana alishajua mi ni wa mgeni wa haya mambo..
Daima sitokuja kumsahau yule dogo maana sasa ni fundi Mfawidhi..
Ila sasa tushaachana
 
nilipoona tu umeandika (My family) nikaona kabisa wewe kama sio mpunga basi ni mchele
 
🀣🀣🀣🀣 Me wala sikupataga shida. Nilichukua tu mkono wake nikauweka kwenye mkuyenge. Ye mwenyewe akauelekezea panapohusikaπŸ˜€πŸ˜€ kazi ikabaki kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…