britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Hiki kibonzo huwa ni summary muhimu juu ya utendaji wa polisi Tanzania.[emoji16][emoji16][emoji16] View attachment 1477198
Mdude kiongozi wa chadema pia kashikwa kwa madawa ya kulevya hizo Ni individual case wabunge wengi na madiwani wa chadema wakihama huwa mnasema wamenunuliwa kwa hiyo conclusion tuseme chadema ni gulio la kuuza wabunge na madiwani? Kuwa kilianzishwa kuwa gulio? Ambapo mtu yeyote akitaja kununua aje chadema sokoni anunue Diwani au mbunge?Na yule wa chalinze aliyekamatwa na bangi siyo afande Mr Tyang
Ni jambo gani polisi waliwai onesha we led I hapa nchini?
Wapo kusakizia watu, na kuwafungulia mashtaka kwa niaba ya CCM!
Wapo kula Rushwa!!
Wapo kutekeleza Mauaji!!!
Nasikia na wengine wameanza kuuza miadarati na mirungi!!
Polisi wanakodisha waarifu silaha!!!
Polisi wanawarubuni wake za watu!!
Usitegemee Jipya
Acha upumbavu wa kudhiaki vyombo vya Dora bila ushahidi wowote denzi wewe.
Katika ripoti ya shambulizi la Mbowe wamejidhalilisha sana.
Karushe mawe kituo cha polisi kilichokaribu nawe then nenda kajitambulishe, hatimae utakuwa Shuhuda wa weledi wao
Mmmm tii sheria bila shuruti Wala polisi hawana shida na mtu kwa mtii sheria bila shuruti
Yule wa Chalinze ji ushahidi wa wanzi we mr.panziAcha upumbavu wa kudhiaki vyombo vya Dora bila ushahidi wowote denzi wewe.
Kwani wewe ni Mgeni Tanzania?Acha upumbavu wa kudhiaki vyombo vya Dora bila ushahidi wowote denzi wewe.
Policeccm [emoji3]Ni jambo gani polisi waliwai onesha we led I hapa nchini?
Wapo kusakizia watu, na kuwafungulia mashtaka kwa niaba ya CCM!
Wapo kula Rushwa!!
Wapo kutekeleza Mauaji!!!
Nasikia na wengine wameanza kuuza miadarati na mirungi!!
Polisi wanakodisha waarifu silaha!!!
Polisi wanawarubuni wake za watu!!
Usitegemee Jipya