Sijawai kuona weledi wa Polisi wa Tanzania

Sijawai kuona weledi wa Polisi wa Tanzania

Weee nitajie 2
Kuna mazuri yao pia 60% kwahiyo hayo madhaifu Ni 40% na yapo kisiasa hayawezi kubadilika hadi mbadili katiba;
Taasisi inaboreshwa kwa katiba wala si matamko!
Police Ni law infoncers na pia Ni law destroyer! maana hakuna anaemu enforce Police akivunja sheria zaidi yake hadi wasalitiane
 
Ni jambo gani polisi waliwai onesha we led I hapa nchini?

Wapo kusakizia watu, na kuwafungulia mashtaka kwa niaba ya CCM!
Wapo kula Rushwa!!
Wapo kutekeleza Mauaji!!!
Nasikia na wengine wameanza kuuza miadarati na mirungi!!
Polisi wanakodisha waarifu silaha!!!
Polisi wanawarubuni wake za watu!!

Usitegemee Jipya
Ni kweli kuna baadhi ya askari polisi hawana maadili. Lakini wao kusema ukweli kuwa Mbowe alilewa chakarii na alianguka akaumia kisigino isiwe sababu ya kuwabebesha lawama zote hizo.
 
Ni jambo gani polisi waliwai onesha we led I hapa nchini?

Wapo kusakizia watu, na kuwafungulia mashtaka kwa niaba ya CCM!
Wapo kula Rushwa!!
Wapo kutekeleza Mauaji!!!
Nasikia na wengine wameanza kuuza miadarati na mirungi!!
Polisi wanakodisha waarifu silaha!!!
Polisi wanawarubuni wake za watu!!

Usitegemee Jipya
Wachokoze uuone weledi wao!!
 
Ile dhana ya restoration after chaos ni muhim sana ili kuunda upya TPF
Nina imani, siku tukiwa na civil unrest kama Nepal; TPF itafutwa tutaanza na taasisi mpya.
 
Back
Top Bottom