Sijawai kuona weledi wa Polisi wa Tanzania

Weee nitajie 2
 
Ni kweli kuna baadhi ya askari polisi hawana maadili. Lakini wao kusema ukweli kuwa Mbowe alilewa chakarii na alianguka akaumia kisigino isiwe sababu ya kuwabebesha lawama zote hizo.
 
Wachokoze uuone weledi wao!!
 
Kisa wameshindwa kusema uongo kwenya upelelezi zaidi ya MBOWE?
 
Ile dhana ya restoration after chaos ni muhim sana ili kuunda upya TPF
Nina imani, siku tukiwa na civil unrest kama Nepal; TPF itafutwa tutaanza na taasisi mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…