Wekeni uwanja huru wa ushindani muone Moto. Jana UWT wamefanya mkutano mkubwa Sana, hamna wa kuwazuia.Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu
wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,
CHADEMA imekwisha ndugu zanguπππππ
nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii
kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu
asanteni
Maoni ya Ngebe, wapo waliotamani hili litokee badala yake wamedanja wamekiacha kikielea bahari kuu tena yenye mawimbi ya tsunami.Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu
wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,
CHADEMA imekwisha ndugu zanguπππππ
nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii
kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu
asanteni
tathimini uwezo wako kichwani, pia uwezo wako wa kuleta hoja mbele za watuSio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu
wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,
CHADEMA imekwisha ndugu zanguπππππ
nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii
kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu
asanteni
Lazima wachoke kwa vikwazo ambavyo wamewekewa. Tuwepe uwanja huru halafu tuseme maneno hayatathimini uwezo wako kichwani, pia uwezo wako wa kuleta hoja mbele za watu
Subutu, eti chadema imechoka, wakati KILA siku police wenu wanapambana na Chadema ,mnatumia vigezo gani? au ndo ile ya yakujifariji Kama Kipindi Cha mwenda zake ,Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu
Wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,
CHADEMA imekwisha ndugu zanguπππππ
Nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii
Kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu
Asanteni
Nenda ACTSio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu
Wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,
CHADEMA imekwisha ndugu zanguπππππ
Nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii
Kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu
Asanteni
Sema ndio maana kijani wameanza kuangua magaidi.Sio tu kuchoka, sema CHADEMA haipo kabisaβ¦. ndo maana serikali leo inaanza kujenga 'madarasa' kwa TOZO!
Hio ni kazi iliyotukuka ya jemedari JiweSio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu
Wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,
CHADEMA imekwisha ndugu zangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii
Kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu
Asanteni
Bora umewaambia. Wabishi lakini ukweli CHADEMA imechoka ile mbaya. Haina uongoziSio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu
Wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,
CHADEMA imekwisha ndugu zanguπππππ
Nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii
Kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu
Asanteni
Subutu, eti chadema imechoka, wakati KILA siku police wenu wanapambana na Chadema ,mnatumia vigezo gani? au ndo ile ya yakujifariji Kama Kipindi Cha mwenda zake ,
Right ungepata muda wa kufikiria vizuri kwa kutumia that white thing in your head the call it brain usingeanzisha thread like this. Mwizi anakimbizwa kimya kimya, mwizi ndio anapiga mayowe, angalia ujenzi wa ofisi za kanda unavyoendelea na muitikio wa watu maeneo mbali mbali? membership base inaexpand pamoja na kupigwa vita kushoto na kulia they are working quietly ndio maana unaona vita dhidi yao ni kubwa kwa chama kilichochoka, na wamechoka kweli hawana ruzuku lakini BAU kila kitu kiko kwa mstari. Fanya matumizi mazuri ya bundle lako.Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu
Wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,
CHADEMA imekwisha ndugu zanguπππππ
Nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii
Kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu
Asanteni
Hakuna cha adabu Wala nini ,bali wamechukulia Kama chimbo la kupiga posho, na waelewe 2025 ccm haipo madarakanisasa kama hawana adabu utawaacha?
Hakuna cha adabu Wala nini ,bali wamechukulia Kama chimbo la kupiga posho, na waelewe 2025 ccm haipo madarakani
Haaa ingekuwa umechoka Viongozi wake Wangebambikiziwa KESI?Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu