Sijawai kushuhudia CHADEMA iliyichoka kama ya sasa

Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu

Wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,

CHADEMA imekwisha ndugu zangu😀😀😀😀😀

Nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii

Kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu

Asanteni
MIMI SIJAWAHI ONA JAMII FORUM MEMBER MPUUZI NA MJINGA KAMA WEWE....😃😃😃🤣🤣🤣😁😁😁✋✋
 
Sasa sijui nyie mtakuja na yupi ? Ili tumpe kipigo kitakatifu ,mapema tu, hamchelewi kumleta POLEPOLE, Huyo au wa aina iyo kampen,hatufanyi

1630604445654.png

unamaanisha kipigo kama hiki?
 
Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu

Wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,

CHADEMA imekwisha ndugu zangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii

Kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu

Asanteni
Hayo ni madhara ya kupambana na LEGACY YA MAGUFULI SASA RAIA WAMEWATOSA
 
Asee kweli wamechoka,hebu basi waruhusuni wafanye mikutano ya siasa
 
Unatamani eeeh?
Msije mkajiroga kuruhusu CHADEMA ifanye siasa mtapotea vibaya.
Endeleeni kuilinda tume ya uchaguzi na kumanipulate akili za polisi,LA SI HIVYO MMEKWISHA.
 
Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu

Wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,

CHADEMA imekwisha ndugu zangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii

Kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu

Asanteni
Mara mnasema Chadema imekufa, lakini kila siku nyie ni kulia na Chadema, why not ACT?
 
Back
Top Bottom