Sijawai muona beki tatu tasa

Sijawai muona beki tatu tasa

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,555
Reaction score
5,202
Kwananini mara nyingi hakuna mabekitatu tasa(house girl) kila ukigusa kizembe imo(kibendi) hasa wale wenye sura za baba?
 
Wanatoka huko vijijini watu wamekula vyakula ... ile ile ile maboga sijui nini ajawai kula vyakula vya kibishoo ... lazima yai liwe lina elea muda wote[emoji23][emoji23][emoji23] na beki 3 ukianza mla uachii
 
Hahaa bila shaka ni wa Iringa huyo, kula kwa step angalia usimpe mimba
acha use***ge wako wewe,kwahiyo ukisikia beki tatu basi katoka iringa,umeniba kinyama,iringa siku hizi watoto zetu wanasoma,huo ijinga hawaufanyi tena,ilkuwa zamani...kama unabisha jifanye unamtafuta mfanyakazi kutoka iringa kama utampata..
 
Back
Top Bottom