Sijawaona Mwamposa na wenzake pale katika janga Kariakoo

Sijawaona Mwamposa na wenzake pale katika janga Kariakoo

Mauaji ya makusudi yaliyoratibiwa na sisiem waje kufuata Nini ?
 
Huko kugumu kwake sawa na yeye kwenda hospital
Ushawahi ona au sikia amenda hospital

Ova
 
Hawa jamaa nadhani walitakiwa pale ghorofani ili wafanye jambo la muhimu sana, sijawaona, au ratiba zimewabana?
Ndiyo ratiba zimewabana hawawezi kuacha kupiga hela za kondoo waende kupoteza muda pale wale wapo kibiashara zaidi
 
Back
Top Bottom