Sijawaona Mwamposa na wenzake pale katika janga Kariakoo

Sijawaona Mwamposa na wenzake pale katika janga Kariakoo

Wapo kanisani kuhamasisha sadaka ya kujimaliza....ili watu waepukane na majanga ya kuangukiwa na maghorofa.
 
Yani hapa kwenye kiroho ndipo kuna kiini kikuu cha utapeli 😂
Utasikia huko “nilitaka kwenda ila nikasikia sauti ya roho wa bwana inaniambia nisiende kwa sababu hamna kitu ningeweza kufany”
 
Utasikia huko “nilitaka kwenda ila nikasikia sauti ya roho wa bwana inaniambia nisiende kwa sababu hamna kitu ningeweza kufany”
Ikiwekwa na sauti ya kukoroma kidogo kondoo wanatumbua macho kama mbuzi wa pasaka🚮
 
Back
Top Bottom