Be calm JF-Expert Member Joined May 20, 2023 Posts 3,766 Reaction score 8,959 Nov 21, 2024 #21 Wapo kanisani kuhamasisha sadaka ya kujimaliza....ili watu waepukane na majanga ya kuangukiwa na maghorofa.
Wapo kanisani kuhamasisha sadaka ya kujimaliza....ili watu waepukane na majanga ya kuangukiwa na maghorofa.
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 9,679 Reaction score 39,087 Nov 21, 2024 #22 min -me said: Yani hapa kwenye kiroho ndipo kuna kiini kikuu cha utapeli 😂 Click to expand... Utasikia huko “nilitaka kwenda ila nikasikia sauti ya roho wa bwana inaniambia nisiende kwa sababu hamna kitu ningeweza kufany”
min -me said: Yani hapa kwenye kiroho ndipo kuna kiini kikuu cha utapeli 😂 Click to expand... Utasikia huko “nilitaka kwenda ila nikasikia sauti ya roho wa bwana inaniambia nisiende kwa sababu hamna kitu ningeweza kufany”
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Nov 21, 2024 #23 Hannah said: Utasikia huko “nilitaka kwenda ila nikasikia sauti ya roho wa bwana inaniambia nisiende kwa sababu hamna kitu ningeweza kufany” Click to expand... Ikiwekwa na sauti ya kukoroma kidogo kondoo wanatumbua macho kama mbuzi wa pasaka🚮
Hannah said: Utasikia huko “nilitaka kwenda ila nikasikia sauti ya roho wa bwana inaniambia nisiende kwa sababu hamna kitu ningeweza kufany” Click to expand... Ikiwekwa na sauti ya kukoroma kidogo kondoo wanatumbua macho kama mbuzi wa pasaka🚮
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 9,679 Reaction score 39,087 Nov 21, 2024 #24 min -me said: Ikiwekwa na sauti ya kukoroma kidogo kondoo wanatumbua macho kama mbuzi wa pasaka🚮 Click to expand... 😂😂😂😂
min -me said: Ikiwekwa na sauti ya kukoroma kidogo kondoo wanatumbua macho kama mbuzi wa pasaka🚮 Click to expand... 😂😂😂😂
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Nov 21, 2024 #25 Hannah said: 😂😂😂😂 Click to expand... Usicheke nina dada yangu, ukimtumia tu pesa anai forward kwa namba ya nabii😭
Hannah said: 😂😂😂😂 Click to expand... Usicheke nina dada yangu, ukimtumia tu pesa anai forward kwa namba ya nabii😭
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 9,679 Reaction score 39,087 Nov 21, 2024 #26 min -me said: Usicheke nina dada yangu, ukimtumia tu pesa anai forward kwa namba ya nabii😭 Click to expand... Jamani ndio kashageuzwa zoba😔😔😔. Na watu wa namna hiyo hawashauriki
min -me said: Usicheke nina dada yangu, ukimtumia tu pesa anai forward kwa namba ya nabii😭 Click to expand... Jamani ndio kashageuzwa zoba😔😔😔. Na watu wa namna hiyo hawashauriki
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Nov 21, 2024 #27 Hannah said: Jamani ndio kashageuzwa zoba😔😔😔. Na watu wa namna hiyo hawashauriki Click to expand... Hawashauriki kabisa , ila unaona ni bora utume tu ili apate furaha yake🤔
Hannah said: Jamani ndio kashageuzwa zoba😔😔😔. Na watu wa namna hiyo hawashauriki Click to expand... Hawashauriki kabisa , ila unaona ni bora utume tu ili apate furaha yake🤔