dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Wakati huo wimbo huo unatoka (y tony-masebene) nilikuwa ni playboy kiukweli.....kwahiyo nilikuwa sielewi nni kimeimbwa humo..
Ila baada ya kuhamia timu WAPENDANAO ..nimeanza kuelewa maana yake.... Najituma tuma kumbe naonaonekana boooyaaaa...
Tuachane na mapenzi jamani...bora tule bia tu...
1.someday_hemedy ft blue
2.masebene_y tonny
3.single again_harmonize