GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ninachojua Marehemu Leo anaogeshwa Dar es Salaam (Tanzania) na Maziko yake yatafanyika rasmi Jijini Tunis (Tunisia) tarehe 9 Novemba, 2022.
R.I.P Marehemu wa Kubebwa Tanzania NBC Premier League na ukiwa huko usiache kumuombea Mpiganaji Mkuu ambaye huwa anakubeba mara kwa mara na Mkali wa Michuano (Mechi) za Kimataifa Tanzania nzima.