GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Barida Mkuu.Tupo pamoja
Nakuona jamaa yangu Popoma! Unajikuna kwapa mbele za watu, halafu unanusa!Ninachojua Marehemu Leo anaogeshwa Dar es Salaam (Tanzania) na Maziko yake yatafanyika rasmi Jijini Tunis (Tunisia) tarehe 9 Novemba, 2022.
R.I.P Marehemu wa Kubebwa Tanzania NBC Premier League na ukiwa huko usiache kumuombea Mpiganaji Mkuu ambaye huwa anakubeba mara kwa mara na Mkali wa Michuano (Mechi) za Kimataifa Tanzania nzima.
Maneno haya angeandika mwingine hapa tayari ungeanza kupiga mayowe kuwa ni lugha isiyostaha lakini ukiandika wewe poa fu.Nakuona jamaa yangu Popoma! Unajikuna kwapa mbele za watu, halafu unanusa!
Kwa hiyo kujikuna kwapa na kunusa, ni tusi kwa mtazamo wako! Au ni sawa na yale maneno yako!!Maneno haya angeandika mwingine hapa tayari ungeanza kupiga mayowe kuwa ni lugha isiyostaha lakini ukiandika wewe poa fu.
Mbona gaucho wao wakuitwa "Khalid " simuoni jamaa apigaga chenga za mwili yuleKikosi cha kwanza cha club africain.....hatuna majeruhi hata mmoja.
١ محميد على
٢ رشيد بن سعيد
٣ سليمان بن محمد
٤. محمد منصور
٥ عمران حسين
٦ عيسى بن سلطان
٧ حالس عيوب
٨ ياسن ساالم
٩ سمير ناسر
١٠ فهد حسين
١١ عبدالله إبن خزيم
Substitute.
١ ناصر حماد
٢ شبرات امير
٣. سعيد مولد
٤. جمعة شاكر
٥. مصطفى سعود
٦. علي جابر
٧. ياسر كريم
Kila la heriii chama letuuuu
Kwa level ya mashindano ya kimataifa Yanga ni maiti tu wala haihitaji elimu kubwa kulitambua hili.Kwa hiyo kujikuna kwapa na kunusa, ni tusi kwa mtazamo wako! Au ni sawa na yale maneno yako!!
Yeye mtoa mada kuifananisha Yanga na marehemu, ni sahihi kabisa!!
Mbona gaucho wao wakuitwa "Khalid " simuoni jamaa apigaga chenga za mwili yule
Nenda kaishangilie APR ndo size yao. Hao Waarabu hawakujuiNinachojua Marehemu Leo anaogeshwa Dar es Salaam (Tanzania) na Maziko yake yatafanyika rasmi Jijini Tunis (Tunisia) tarehe 9 Novemba, 2022.
R.I.P Marehemu wa Kubebwa Tanzania NBC Premier League na ukiwa huko usiache kumuombea Mpiganaji Mkuu ambaye huwa anakubeba mara kwa mara na Mkali wa Michuano (Mechi) za Kimataifa Tanzania nzima.