Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,361
Yaani hapa hata sijielewi,wacha nikuume sikio basi,
mwenzio nikajua ndo nishapendwa hivyo...
Yaani hapa hata sijielewi,wacha nikuume sikio basi,
mwenzio nikajua ndo nishapendwa hivyo...
Heheheee Mzee wa Rula mwache St. Paka Mweusi kijana afurahie like za shemeji zake.. !Una nguvu weye au unabeep, mwenye mali hayupo mbali hapa jukwaani ngoja aje uone vurugu zake.
Kwa kuchochea tu, Erickb52 njoo uone St. Paka Mweusi anavyotaka kufanya. Hebu fikisha salamu kwa Asprin kabla mambo hayajawa mabaya, like tu anadhani kapendwa.
Mmmmh ya kweli haya? Lol hongera bana
Poa...umeshanipa like za asbh???
No ntakupa nite
Zisitaki likes za asubuhi wala usiku.
Ok bac ntampa mida ya lunch...
Mmm....? Mnashindana?
Heheheeee kuvuja kwa pakacha......!Anawasanifu tu nakuwachora!
Hapa kafika mlichemsha kumtunza msimfuatilie, hawataki!