Sijui alikuwa jini au mtu?

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
15,771
Reaction score
14,294
Alinipigia simu na kuniulizia habari za JF, tukafahamiana. Alidai anaishi Mbagala Dar akanipa namba ya simu na ya kwangu alikuwa nayo.

Baada ya hapo sikumpigia na yeye hakuwahi kupiga tena, hadi leo sijui alikuwa ni nani. Aliniambia angependa kukutana na Bujibuji.

Je, ni nani mtu huyu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andika vizuri! Umeishia darasa la ngapi kwani? tusije kukulaumu bure!

Kama umeandika ya kwamba mlifahamiana! basi huna sababu za kutuuliza huyo ni nani!
 
Ulifanikiwa kumgonga? je ndoto ilipoisha hukutapika? Sasa kama nambari yake uko nayo si umpigie simu umuulize kuliko kuja tuuliza sie hapa? basi weka nambari yake ya simu tukusaidie kumuuliza.
 
Ulifanikiwa kumgonga? je ndoto ilipoisha hukutapika? Sasa kama nambari yake uko nayo si umpigie simu umuulize kuliko kuja tuuliza sie hapa? basi weka nambari yake ya simu tukusaidie kumuuliza.
Sikukutana naye mkuu,alikuwa na mabo mengi ,mara ananiita mpenz,mara simu haipatkan nilipofuta namba yake naye hakupiga tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Duu mbona Kama umemchungukia kidizaini hivi kwema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…