Sijui alikuwa jini au mtu?

Sijui alikuwa jini au mtu?

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
15,771
Reaction score
14,294
Alinipigia simu na kuniulizia habari za JF, tukafahamiana. Alidai anaishi Mbagala Dar akanipa namba ya simu na ya kwangu alikuwa nayo.

Baada ya hapo sikumpigia na yeye hakuwahi kupiga tena, hadi leo sijui alikuwa ni nani. Aliniambia angependa kukutana na Bujibuji.

Je, ni nani mtu huyu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alinipia simu na kuniulizia habari za jf,tukafahamiana .Alidai anaishi Mbagala dsm akanipa namba ya simu na ya kwangu alikuwa nayo.Baada ya hapo sikumpigia na yeye hakuwa kupiga tena,hadi leo sijui alikuwa ni nani.Aliniambia angependa kukutana na Bujibuji.Je,ni nani mtu huyu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Andika vizuri! Umeishia darasa la ngapi kwani? tusije kukulaumu bure!

Kama umeandika ya kwamba mlifahamiana! basi huna sababu za kutuuliza huyo ni nani!
 
Alinipigia simu na kuniulizia habari za JF, tukafahamiana. Alidai anaishi Mbagala Dar akanipa namba ya simu na ya kwangu alikuwa nayo.

Baada ya hapo sikumpigia na yeye hakuwahi kupiga tena, hadi leo sijui alikuwa ni nani. Aliniambia angependa kukutana na Bujibuji.

Je, ni nani mtu huyu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulifanikiwa kumgonga? je ndoto ilipoisha hukutapika? Sasa kama nambari yake uko nayo si umpigie simu umuulize kuliko kuja tuuliza sie hapa? basi weka nambari yake ya simu tukusaidie kumuuliza.
 
Sikukutana naye mkuu,alikuwa na mabo mengi ,mara ananiita mpenz,mara simu haipatkan nilipofuta namba yake naye hakupiga tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alinipigia simu na kuniulizia habari za JF, tukafahamiana. Alidai anaishi Mbagala Dar akanipa namba ya simu na ya kwangu alikuwa nayo.

Baada ya hapo sikumpigia na yeye hakuwahi kupiga tena, hadi leo sijui alikuwa ni nani. Aliniambia angependa kukutana na Bujibuji.

Je, ni nani mtu huyu?

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOT

nimecheck profile yako mkuu, ina maana hadi leo hujapata mke tu tangu uanze kutafuta ? Bado unatafuta mkuu? Funguka warembo wajitokeze
 
Duu mbona Kama umemchungukia kidizaini hivi kwema?
 
Back
Top Bottom