zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 820
- 541
Bikra ni msichana ama mvulana kutowahi kushiriki ngono. Suala la kutoka damu inategemea mtu na mtu, wengine hawana kingozi/kiutando ktk uke. Ama kilishatoka bila wewe kujua. Ngono ipo ktk makundi makuu mawili.
1. Kushiriki na kiumbe kingine(mwanaume/mwanamke)
2. Kushiriki binafsi(kujichua)
1. Kushiriki na kiumbe kingine(mwanaume/mwanamke)
2. Kushiriki binafsi(kujichua)