Sijui bikra yangu ilitoka vipi? Au sikuzaliwa bikra?

Sijui bikra yangu ilitoka vipi? Au sikuzaliwa bikra?

Ww siulikuwa unatafuta dido sio ww siumeitoa mwenyewe km unataka irudi nende kwa mchina
 
Huwa nasikia siku ya kwanza mwanamke kukutana na mwanaume ni lazima damu imtoke,haikutokea kwangu,nakumbuka nilikutana na mwanaume kwa mara ya kwanza nikiwa na miaka 26 yupo alietangulia mwaka mmoja nyuma nakumbuka aliweka tu kidogo nikapiga kelele akaacha.Haikutoka damu yoyote,mwaka uliofuta ndo huyu mwingine tulifanya mwanzo mwisho niliumia tu kidogo ila haikutoka damu yoyoye.

Je bikra yangu ilienda wapi huwa najiuliza sana. Je kujichua kunaweza kutoa bikra? Mbona nako sikuona damu?

Uliwahi ku google kujua ilipo?
 
Huenda cku unafanya tendo damu haikuzungukia eneo husika au pia huenda unadamu kdogo hvo kama zngetoka huenda ucngekuepo mshukuru Mungu hazjatoka.
 
Huwa nasikia siku ya kwanza mwanamke kukutana na mwanaume ni lazima damu imtoke,haikutokea kwangu,nakumbuka nilikutana na mwanaume kwa mara ya kwanza nikiwa na miaka 26 yupo alietangulia mwaka mmoja nyuma nakumbuka aliweka tu kidogo nikapiga kelele akaacha.Haikutoka damu yoyote,mwaka uliofuta ndo huyu mwingine tulifanya mwanzo mwisho niliumia tu kidogo ila haikutoka damu yoyoye.

Je bikra yangu ilienda wapi huwa najiuliza sana. Je kujichua kunaweza kutoa bikra? Mbona nako sikuona damu?
Ililiwa na baiskeli. Au ulizaliwa na rambo.
 
Yaan historia yako hatupishani sana ila me nahisi Dada Wa kazi alinitokonyoaga lakini mpaka Leo na miaka 20's na kitu najiulizaga sipati jibu nishamshirikisha bimkubwa anasema kawaida ila kuna vitu nilivisikia tu nilivyoanza kutomboka Mara ya kwanza ila sema fresh tu maisha yanaenda.damu kitu gani buana
 
majanga...bikra ni hali ya mwanamke kuwa hajawai kukutana kimwili na mwanaume
bikra sio kutoka damu kwenye tendo.
hapo kwenye vidole umenikumbusha sec
test tube za maabara ilikuwa tukitoka mwalimu wa kemia anatukagua kweli maana ziliisha kabisa
Dhahahaaa dah zilikuwa zinaisha haswa ila mie sikuwa naelewa matumizi yake .
 
Back
Top Bottom