Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

Acheni udini. Udini hauna mashiko.
Mkuu nakueleza kwa sisi waislam hatuna udini juu ya dini yetu, napopote pale tunajiona fahari kuwa waislam, tuna amini kila mtu anadini yake, wao nadini yao sisi na dini yetu. Nahatukashifu dini ya mtu napia hatupendi na hatuko tayari dini yetu kukashifiwa tutailingania popote pale kwa gharama yeyote Ile.

Sasa kama Gwajima alitukashifu kwa kinywa chake ,hakuna muislam ambae anaweza mpigia Kura, Halima nimkristo pia lkn hatuko tayari kuongozwa na mkristo Gwajima anaetamka kwa kinywa chake atazigeuza madrasa/misikiti kuwa Sunday school hatuko tayari na kwahilo hatujifichi. Heri tuonekane wadini huku tukipinga wanaokashifu dini yetu waziwazi.
 
NAOMBA VIDEO YA GWAJIMA AKITOMBA MUUMINI WAKE .... PIA NAOMBA VIDEO YA GWAJIMA AKISEMA KUGOMBEA UBUNGE NI KUJISHUSHIA HESHIMA

Mkuu naona Wewe hujaamua sijui kutumia Tafsida ila umeamua tu kwenda moja kwa moja kwa kulitaja neno kama vile linavyotamkwa. Shikamoo!
 
Hivi wakatoliki kumbe ndo viranja wa makanisa yote ya kikristo?? Na inabidi viongozi wao watambulike na makanisa yote?

Huwezi Kutenganisha Kanisa 'Katoliki' nchini na Jambo lolote lile la Kisiasa, Amani na Ustawi wa nchi hii Tanzania. Ni 'Mpumbavu' tu ndiyo halijui.
 

Umemaliza kila Kitu Mkuu heko sana na huu ndiyo 'Uhalisia' wote sasa hawa CCM na Mwenyekiti wao Taifa Dkt. Magufuli wajiandae Kisaikolojia tu.
 

Pumbavu.
 
Sina tatizo nae kivile japo tu hapo katika 'Kumshambulia' Kadinali Pengo Mkatoliki Mwenzangu 'amenikera' ila 'Waislamu' wa Kawe wana Hasira nae.
Mimi ni mkatoliki, lakini naunga mkono Gwajima kumshambulia Kardinali Pengo. Alikuwa anamkosoa kwa kitendo cha Mwadhama Kardinali kuwaruka kimanga Maaskofu wenzake, katika nyaraka za kamati ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Katoliki. Mimi napinga vitendo vya Krdinali huyo mstaafu kujiweka karibu sana na rais Magufuli pamoja na kuonesha waziwazi kwamba yeye ni kada wa CCM.

Vitendo hivyo vimevuruga nafasi ya Kanisa Katoliki laTanzania katika muktadha wa haki na amani katika taifa hili.

Alimfagilia pia Makonda kwamba anafaa kumrithi Magufuli. Kama yeye anaona yuko huru kutoa maoni yake kisiasa, anatakiwa pia kupima impact yake.

Simuungi mkono Gwajima, kakini katika hilo la Kardinali Pengo, alionesha uzalendo kwa kuthubutu kumkosoa hadharani kigogo huyo wa Kanisa Katoliki
 
Kwa kweli sikutegemea chama Kili kingeweza kufanya makosa haya ya kumchagua mtu kama Gwajima! Kigeugeu! Mwenye cotroversies nyingi mno pamoja na matendo na lugha za kiajabu mno!

Kama dira ya CCM ya watu bora ni mfano huu basi inatia shaka CCM wana nia gani na nchi hii!
 


Sizani kama Waislam wote wana nongwa ya kujali mambo madogo!

Kwamba Eti mtu akashikilie mihemko ya wahubiri au watoa mawaidha weeee!

Sasa nikuulize watoa mawaidha ya Kiislam huwa wanawazungumziaje wakristo?

Je wakristo nao wawe wanashikilia kauli hizo zikiwapo za kuwaita makafiri

Tuacheni nongwa za udini tushirikiane sisi sote ni waTZ , tuchague mtu atakaleta maendeleo yatakayoonekana kwa macho!

Tumchague mtu ambaye atashirikiana na serikali katika kutuletea maendeleo jimboni ambae ni Gwajima.

Halima wakati wote yeye kuendesha kesi zidi ya serikali Huyu kushirikiana na serikali kueleza kero za watu wa jimbo lake ni vigumu!
 
Na Wakatoliki wote wasimpigie kura Gwajima kwa matusi aliyomtukana Cardinal Pengo, na wote wasio Wasukuma wasimpigie kura Gwajima kwa kuanzisha vikundi vya kikabila mithili ya interahamwe
cardinal Pengo ni Yuda eskariot aliepooza.
 
Hii kawe mbona inavituko..kwahio kuna pornstar vs Lesbian? haya wakatoliki na waislam wa kawe kazi kwenu
 
Tuliza mihemko ww..unavyosema hakuna muislam atakae mpigia kura ina maana waislam wapiga kura wote watapitia kwako kukupa habar za waliompigia kura? Kura ni siri ya mtu.

Mara ngapi waislam huwaita wakristo ni Makafir? Je, si kukashifu dini ya wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…