Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
HafaiKiufupi Gwajima hapaswi kupata kura yeyote hapo Kawe, hata mkewe hapaswi kumpigia kwani ni msaliti wa ndoa yake.
Khs kutukanwa waislamu sijasikia, japo waisilamu nao wanapaswa wamwamini Yesu kuwa ni Neno la Mungu . Wasiishie kwenye shahada ya pili, wafike ya tatu. Kwamba Yesu ni Nabii, ni Mtume, ni Roho, na ni Neno.
Sent using Jamii Forums mobile app