Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

Elezea kinaga ubaga, tofauti na hivyo itakuwa ni hisia zako na mahaba yako!
 
Ninawashawishi waislamu wote wa Kawe na watu wote wenye akili timamu, wasimpigia kura hata moja Gwajima, tuone kama wataweza kumfanya ashinde kweli bila ya kura.

Kwa Mara ya kwanza watanzania wa jimbo la kawe, onyesheni uzalendo, ubinadamu, uungwana, umoja, kwa kumpinga huyu Gwajima aliye tapeli wa kiimani, anawatapeli masikini na anatumia mbinu za kishetani kujifanya ni muinjilist, viongozi wa Dini hawawi hivyo. Huyu ni mvunja ndoa, ni muongo, no mkabila.

Itakuwa somo kubwa sana, wananchi wa kawe wakimpinga kwa pamoja Gwajima. Hana lolote.

Say no to EVIL
 
Kawe wanao sisi wana CCM wengi tunaompinga Gwajima, tunapinga kupitishwa kwa Gwajima.
 
Huenda Pengo na waislamu walishamsamehe Gwajima hivyo hayo yameshapita, sasa tunaganga yajayo.

Kila laheri Askofu Gwajima na wagombea wengine wote.
Acha fix wew nani amsamehe KAFIRI mkubwa!
 
Pascal ana elimu na ungwana wake, hahitaji kuishi maisha ya kinafiki.
 
Waislamu nawaaminia sio wanafiki wamchinjie baharini asubuhi na mapema akitoka kwenye ibada yake
 
Sisi wakatoliki hapati kura zetu.

Pengo alizinguaga hapo kati Ila sisi wakatoliki hapati kura huyu mtu.
 
Mimi si Mkatoliki ila wakatoliki wengi wana misimamo thabiti linapokuja suala la kashfa na dharau kwa viongozi wao
Tutamshugulika asubuhi na mapema hatoamini .

Hatutaki viongozi wanaodharau kanisa mama kwa sababu ya visenti viwili vitatu wanavyowaibia waumini wao
 
Hizi dhambi mbili za Gwajima za kumdhihaki Pengo na ndugu zetu Waislam kwa kweli kabla ya uchaguzi zitafutiwe dawa mapema otherwise mbeleni sijui itakuaje
 
Mungu anawaona
 
Mwenye zile clip zake za kuhamasisha Wasukuma waunde group la kumtetea na kumlinda Msukuma mwenzao, hatuwekee hapa tujikumbushe kidogo.
 
Ni wizi wa kura pekee ndio utamfanya Gwajiboy ashinde la si hivyo hana nafasi hata chembe katika jimbo hilo.
Ikiwa unataka kuanza biashara ukafikiri kuwa wafanyakazi wako watakuibia unachojiandaa nacho ni namna ya kuwadhibiti. Ukiona hilo huwezi ushajiandaa kushindwa. Usilalamike, jiunge nao upinzani wape mbinu za kulinda kura zao. Wacha KWIO mapema. Tulia mpira dakika 90. Ukiotea kama refa hajaona hilo nalo goli. Faulu pia zipo. Mpira gani unaanza na wasiwasi oooh sijui nini. Ni dalili za kuambulia nunge.
 
Hizi dhambi mbili za Gwajima za kumdhihaki Pengo na ndugu zetu Waislam kwa kweli kabla ya uchaguzi zitafutiwe dawa mapema otherwise mbeleni sijui itakuaje
Hamna cha dhambi wala kitubio chake. Hizo zote ni dhana za kutengenezwa. Nani asiyejua kuwa Pengo alikosea? Na hakutukanwa aliulizwa swali. Aliulizwa amekula maharagwe gani?
 
Zile sanaa za Gwajima kufufua misukule zilinifanya nimdharau tangu wakati huo, na kumwona ni tapeli.

Na hakika, waumini wa Gwajima au ni matapeli wenzake au ni wale wajinga kupindukia. Kwa mtu mwenye akili yako timamu huwezi kwa namna yoyote kuwa muumini wa Gwajima ambaye ni dhahiri anafanya utapeli kwa kupitoa neno la Mungu.

Our Lord embarass this satan agent before your people. You are the light, enlighten your people to see the truth of this conman Gwajima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alimshambulia Askofu Pengo kama mtu binafsi, lakini alijidai hatambui mamlaka ya Askofu Pengo kikanisa, na alimtukana, mjinga na mpumbavu.
Let us call a spade a spade and not a big spoon. It is true he was a fool and stupid. Na hayo sio matusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…