Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,689
- 6,484
- Thread starter
-
- #21
Kumbuka si mtanzania na si mwepesi kujichanganyaMkuu upo njia panda ila ushauri Wang ni kwmb jarib kumdadisi kumfatilia kiundan hata kwakutengenez urafik wkaribu sn au tafut mtu wake wakaribu Kam rafik na ujaribu kumshirikish kwenye hili afu umwombe akusaidie akusaidie kum-dadisi
Inasikitisha sana mkuuWe jamaa mwehu saana
Sasa nn kinakusikitusha hapo??Inasikitisha sana mkuu
Soma madaSasa nn kinakusikitusha hapo??
Yaan ngoja tuone maana kinachonichanganya ni kwamba Sina mudi na wanawake wingine may be baadaeMwanamke asiyependa watoto wako huyo mtasumbuana mbeleni, ila fanya chaguo unaloona sahihi kwako
Pole sana mkuu ila huyo mwanamke atawanyanyasa watoto wako mchunguze kwa kina kabla hujamrudishaYaan ngoja tuone maana kinachonichanganya ni kwamba Sina mudi na wanawake wingine may be baadae
Mmekua vivuruge hadi ukipata mwanamke anaekupenda kwa dhati unaogopa unahis kama ana agenda ya siriAnakupenda tu buana π ila uganda kuna roho ya Iddi Amin π
ππππ..... Afande kwenye post ya kwanza nilikutana na hii comment nikajua n bahati mbayaSijasoma mada yake ila nimesikitika sana hasa hapo aliposema alikufa π
π π π uoga tuMmekua vivuruge hadi ukipata mwanamke anaekupenda kwa dhati unaogopa unahis kama ana agenda ya siri
Achana na hy kuna nyngn sijasoma mada ila nimesikitika sana hasa hapo uliposema umebakwa π₯hii mara nyingi inakuwa kwenye post za mapenzi zenye ujinga ujingaππππ..... Afande kwenye post ya kwanza nilikutana na hii comment nikajua n bahati mbaya
Kumbe ni kitu official kabisaa
Dahπ
So fun
Ndo unanitisha kabisaa rafiki anguAnakupenda tu buana π ila uganda kuna roho ya Iddi Amin π
Kweli kabisa siku hizi ukipendwa unawaza mara mbili mbiliMmekua vivuruge hadi ukipata mwanamke anaekupenda kwa dhati unaogopa unahis kama ana agenda ya siri
Mzee hii comment imenitisha kinomaYani aliondoka kisa hawezi drama za watoto,kisha anataka kurudi why???,huku alipokuja kuishi nawwe alijua kabisa una watoto na lazima ataishi naye.
Huyo kuna tukio ameliandaa,lazima kuna jambao anataka kufanya ili kupata suluhu ya hiyo jam,anaweza akawapa.watoto sumu wafe taratibu taratibu.
Fikiria kwa kutumia akili,usifikiri wa kihisia-matapishi hayarambwi.
Wewe usiogope ila pendaneni mkiwa mbali na watotoNdo unanitisha kabisaa rafiki angu