NakuliliaTanzania
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 555
- 7
Jamani,
Hii habari sio kweli, baraza la mawaziri haliwezi kuvunjwa saa sita usiku.
Nafikiri JF imeingiliwa na virus, inatakiwa tujitahidi kupata anti-virus vinginevyo JF itaharibika.
napika pilau usiku huu. hii safi sana
duh ! basi kwa vyovyote wewe utakuwa Canada, au New Jersey, marekani ! maana huko ndio kuna wapishi wa pila wa kiume hodari !
from Kuvunja baraza hadi kupika pilau.. toka about wandering.. sasa Baraza likivunjwa kesho itakuwaje?
duh ! basi kwa vyovyote wewe utakuwa Canada, au New Jersey, marekani ! maana huko ndio kuna wapishi wa pila wa kiume hodari !
Kuna majungu yamepikwa tayari na watendaji wa Ikulu ili baadhi ya watu wang'oke katika nafasi za uwaziri na Unaibu Waziri,Kwa taarifa fupi niliyopewa ni kwamba,JK atapitia upy hayo majina kabla ya kutangaza uteuzi wake,Kuna fununu baadhi ya Mawaziri waliotaka kungolewa,na wanajulikana wazi wanaweza kurudisha ili kulinda Umoja wa Chama cha Mapinduzi,Hususan suala la Mwandosya,Jamani baraza halijavunjwa.... ila wanafahamu jinsi watu wanavyosubiri kwa hamu.. ila kama itatokea subirini usiku wa Ijumaa..