NakuliliaTanzania
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 555
- 7
Jamani,
Hii habari sio kweli, baraza la mawaziri haliwezi kuvunjwa saa sita usiku.
Nafikiri JF imeingiliwa na virus, inatakiwa tujitahidi kupata anti-virus vinginevyo JF itaharibika.
Halafu naona watu tunachangia tuuuu habari ambayo haina namna ya uthibitisho.....
Usiku huu tumtegemee JK avunje baraza la mawaziri?