Hiyo ya walevi nimeifanyia uchunguzi,kwa 80% naona iko sahihi!mh!kwahilo sina uhakika na pia sion connection yeyote.ila nnachojua watu wengi walevi wana pocblty kubwa yakupata watoto wakike na pia mimba nyingi za bahati mbaya yaani mtu anapojiona yuko safe dayz kitukikaingia kunauwezekano mkubwa wakupata mtoto wakike kwan mbegu yakike inaweza survive kwa mtu kuliko ya kiume mpaka yai linaposhuka
Hiyo source ya uongo. Kitu kingine uzuri is a matter of degree. There is no crosscut boundary of the word beauty. What beautiful to u may be hardly to me. Beautiful is abstract hence it is perceived differently to different peopleInasemekana zile couples zinazoundwa na mume na mke ambao wana sura nzuri za mvuto i.e(handsome husband&beautiful wife),wana frequency kubwa ya kupata watoto wa jinsia ya kike kuliko wale wa jinsia ya kiume.Uchunguzi umefanywa oxford university,source(www.healthkicker.com).Mimi bado sijafanya uchunguzi,sijui wewe mwenzangu!
Dah! hizi research sijui huwa wanawaza nini....
umeona eeeeh// IYO GENETIC RECOMBINATION HAIWEZEKANI KWA KITU KAMA ICHO
mkuu hao researcher wanamatatizo. hawawezi kureason kipumbavu namna hiyo,
siku sii nyingi mbu,au ashadii,mwajamiione au mwanakijiji au fidel80 au pdidy au malaria sugu au faizafoxy nao watakuja na thread et reseach inaonyesha kwamba member wa jamii forum kama itatokea wakawacouples basi watapata watoto wenye upofu,sababu wanashinda sana kwenye laptop zao kureply text jamii forums.
Inasemekana zile couples zinazoundwa na mume na mke ambao wana sura nzuri za mvuto i.e(handsome husband&beautiful wife),wana frequency kubwa ya kupata watoto wa jinsia ya kike kuliko wale wa jinsia ya kiume.Uchunguzi umefanywa oxford university, bado sijafanya uchunguzi,sijui wewe mwenzangu!
ehhh kwaiyo mimi mwenye sura km dada yake remi ongara nina uhakika wa kupata beb boy....?cz ata mwenzangu pia ana sura ngumu kama yangu...:A S-baby:
eeh iyo lazima iwe kiboko ashadii, hii thread ni upupu mtupu.Hypothesis yako sasa kiboko...lol...
eeh iyo lazima iwe kiboko ashadii, hii thread ni upupu mtupu.
Mkuu hapo umechemsha, Kiranja Mkuu wa Mawaziri wetu yule, nadhani mwamfahamu kwa uchachu wa sura yake bt anawatoto wakike wengi sana, sio handsome yule!Inasemekana zile couples zinazoundwa na mume na mke ambao wana sura nzuri za mvuto i.e(handsome husband&beautiful wife),wana frequency kubwa ya kupata watoto wa jinsia ya kike kuliko wale wa jinsia ya kiume.Uchunguzi umefanywa oxford university,source(www.healthkicker.com).Mimi bado sijafanya uchunguzi,sijui wewe mwenzangu!
Tuchangie kwa kureffer sura zetu! teh! This thread is very interesting, Nimeipenda!ha ha ha.... huo ukorofi... mwenzio kawakilisha kama alivyosikia..Huwezi jua labda nae kapinga na kaona ni waongo na anataka mawazo yetu..lol
Mtafiti wa hii kitu sio mimi,nimeiweka hii thread'upupu' hapa JF ili kupata views zenu tu,sijasema kwamba ninaikubali ili wewe uniunge mkono au unipinge la hasha!
Tuchangie kwa kureffer sura zetu! teh! This thread is very interesting, Nimeipenda!