Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,437
- 1,027
Inasemekana zile couples zinazoundwa na mume na mke ambao wana sura nzuri za mvuto i.e(handsome husband&beautiful wife),wana frequency kubwa ya kupata watoto wa jinsia ya kike kuliko wale wa jinsia ya kiume.Uchunguzi umefanywa oxford university,source(www.healthkicker.com).Mimi bado sijafanya uchunguzi,sijui wewe mwenzangu!