Sijui kama ni wivu au alinichoka

Najua watu wajaji uandishi wako lakini mwenye akili timamu ameelewa mimi nikupe pole mpe likizo japo miaka 2 unakuja kunishukulu
 
Najua wengi munaangalia muandiko mtililiko hiyo changamoto niliyo niyo, ndomaa nikasomea kazin isiyo taka mwandiko. hivyo ningumu kunibadiliaha ukielewa sawa usipo elewa tafutamutu akueleweshe maana wapo walio elewa zaidi yako.
 
KUOA KUOA KUOA

Sijui nini kinawakimbiza muende huko....

Wewe mkuu kama hayo yalipita basi nashauri yasijirudie tena,, Achana na habari za kuoa,, ili iweje..??
 
Japo sijaelewa!
Ila ,ukishaona mapichapicha haya unaendelea kumng'sng'ania MTU wa nn?
Ndo mwisho wa siku watu mnauana bure!
 
Shida yangu siyo kuomba ushauri isipokua najaribu kubadilishana stori kwenye hilijukwaa. Wala simulahumu mama wa mtt ,maana mwisho siku nivitu tumepitia kwenye maisha, na maisha yameendelea.
Eeh makubwa[emoji848]
 
Hakupendi huyo , inshort anakuona kuwa bado una Unga Unga maisha ana tamaa atakusumbua Sana achana nae

Katika kipindi hiki Cha wewe kujitafuta ingekuwa Ni Bora Kama ungeacha kujihusisha na wanawake hakikisha unaupigania uchumi wako mpaka uwe stable wanawake wa kibongo wengi baadhi Ni Cancer wata kutoa roho bure
 
Asante Kwa kuturekebishia Ngoja tushushe maoni Sasa:

Kwako nduguu mtoa mada, Mwanamke akirudi kwao na haujamfukuza ameamua mwenyewe huwa hatumfuati, jambo la pili Mwanamke unaonekana umemuonyesha upendo mpaka amejisahau kwamba yuko peke yake Ili Hali anaona wenzake wanapigwa na jua nje sio kwamba wao hawatamani kuwaandalia waume zao chai Asubhi na kuwatakia kazi njema wanatamani ni vile tu hawana, tatu lazima uonyeshe msimamo kama mwanaume,Mwanamke anahamishaje vitu ndani kwa mfano?? Eti nataka kwenda kwetu na wewe unamwambia muuze sabufa au tv na Mwanamke anakubali huyo sio Mwanamke anayefaa kuwa mke wa mtu
 
Hawa viumbe ukiwapa nafasi ya kukuendesha umekwisha. Piga chini hamna mwanamke hapo kuna mtu mwenye jinsia ya kike!
 
Mwache huko kwao wewe endelea na maisha yako na ikiwezekana hama hapo na mfute akilini mwako huyu sio wako.
 
Faza wewe ni Mrundi nini!?

Enewei, hivi hao wanawake wanaokuwa wanawataabisha na bado mnawang'ang'ania huwa wanableed Dhahabu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…