Mchagapori
Member
- Sep 6, 2012
- 49
- 11
Dah nimeheka sana jf noma
Kuweka shati la shule Jv ya vidonda kwa kuwa huna hela ya kununulia blue
Kutemea mate embe bichi ili mwenzio asikuombe
Kuvaa saa za discolight halafu ikipiga mziki mnacheza darasani.
naomba unisaidie jina la hii movie ya komando kichupi tafadhali
Kufanya mapenzi na kuku au mbuzi wakati umeenda kuwalisha
-kumiliki vidonda kama vi5 hivi kwa wiki
-Kusingizia unaumwa siku za usingizi mzuri ili usiende skuli
-kupiga picha huku umepakata radio aina ya phillips(sauti safi sauti kubwa)
-Kupiga picha kwa kamera za filim
-Kuchonga kabati kubwa la tv lenye kufuli na kuliweka sebuleni
-kupaka mafuta ya rays na shant
-kuitikia salam'' ayeya''''dole tupu''
-Barua za mapenzi zenye picha za mikuki inatoboa mioyo