Sijui kama tutafika

Sijui kama tutafika

Gallijembe

Senior Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
181
Reaction score
37
Ivi kuchukua wanafunzi wenye wastani wa 20 hadi 29 na kuwaacha waingie kidato cha 3 kwa kisingizio cha mafunzo maalumu mmeshajiuliza watafanya saangapi, lini na wakati gani, kweli alieomba chumvi kapewa sugar kazi ipo.
 
Haya Ndo Madhara Ya Kuingiza Siasa Kwenye Mambo Ya Msingi, Tutarajie Kundi Kubwa La Watz Wajinga Miaka Michache Ijayo.
 
Ualimu raha unacheza kulingana na mdundo wa ngama
 
Ivi kuchukua wanafunzi wenye wastani wa 20 hadi 29 na kuwaacha waingie kidato cha 3 kwa kisingizio cha mafunzo maalumu mmeshajiuliza watafanya saangapi, lini na wakati gani, kweli alieomba chumvi kapewa sugar kazi ipo.

usikate tamaa jitahid kusoma nawewe mwakani upate hiyo 29 punguza kushinda jf utafaulu tu
 
Back
Top Bottom