Gallijembe
Senior Member
- Jan 6, 2014
- 181
- 37
Ivi kuchukua wanafunzi wenye wastani wa 20 hadi 29 na kuwaacha waingie kidato cha 3 kwa kisingizio cha mafunzo maalumu mmeshajiuliza watafanya saangapi, lini na wakati gani, kweli alieomba chumvi kapewa sugar kazi ipo.