Sijui Kiingereza,nilichekwa baada ya kubumunda lugha ya watu

Sijui Kiingereza,nilichekwa baada ya kubumunda lugha ya watu

Jama jama jama! Sijui nicheke au nisikitike. Maani sijui waliopendekeza nini cha kusema walikuwa wanafanya masihara au ndiyo wanamsaidia aliyeuliza.
 
We si mzima kabisa na unania mbaya na mimi kwasababu ulitaka kunivunja mbavu kwa kicheko..!!
 
Nimekosa shule siku mbili, nilikuwa na msiba. Najaribu kujieleza kwa mwalim wangu wa darasa kwa kiingereza, SORRY MADAM,I WAS NOT PRESENT TWO DAYS BEFORE BECAUSE I WAS DIED. Ananicheka. Nauliza. Kiingereza sahih cha kufiwa ni kipi.
1.Sorry madam,I did not attend classes for two days (forthe past two days)because I had a burial ceremony to attend.
2.Sorry madam,I was not able to come to school for two days because a relative/friend of mine passed away(kicked the Lots of option,it is up to you depending on your knowledge of the language.
 
sorry madam, I did not attend classes two days ago because I had a funeral
 
Back
Top Bottom