Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwenyewe mtu akiniambia atanipeleka hata uganda nitamganda kama ruba. Lol.
Rahisi sana iwe kwa njia ya panya au ile ya halali zote ni rahisi. We ukifika Mtwara mjini tu utakuta magarina mie nataka kwenda maputo, nifanyeje?
Rahisi sana iwe kwa njia ya panya au ile ya halali zote ni rahisi. We ukifika Mtwara mjini tu utakuta magari
wanaita Boda.. boda ...boda. Chukua hayo, Pia unaweza kutembea hata kwa miguu ukitokea Tandahimba au
Newala. Lakini kote huko usafiri upo iwe kwa gari au pikipiki. Pia unaweza kuvuka kwa bahari..... Safari njema
Ukimpata nifahamishe nikufundishe kireno.De safári bom irmão. Deus te segura.