Sijui kwanini huwa simuelewi Vanessa Mdee?

Sijui kwanini huwa simuelewi Vanessa Mdee?

Pamoja na umaarufu wake na ukubwa wa jina lake lakini huwa nyimbo za Vanessa Mdee huwa sizielewi kabisa...yaani hata ukiniuliza sasa hivi kama kuna nyimbo yake naiujua wala siwezi kukuambia manake hazinaga ujumbe unaoeleweka...nikifananisha na akina Nandy , Linah, Maua Sama,Lady JD na mademu wengine....nimejaribu kuzipenda nyimbo zake lakini huwa haziningii akilini kabisa....sijui ni uzee au ushamba?Kama kuna anaye muelewa naomba mnisaidie kiushauri ili nipende nyimbo zake...
Nahisi hata yeye hajui hata kuna mtu anaitwa ngonyango
 
mwanamke anae sema wet haelewi wakati anasahau bila kuwa hivyo hafanyi tendo, mbona nyimbo inaeleweka
 
Vanessa ni promo tuu na kuuza ngada .... ndo vinamweka mjin, ila hamna anachokifanya kwenye mziki....bora ahamie kwenye uanamitindo....kichwa ni Maua sama..kinakosa proper management
 
Back
Top Bottom