Sijui kwanini huwa simuelewi Vanessa Mdee?

Una elimu gani kwani? Hujui kuna viwango tofauti vya uelewa?
 
Humu wengi ni bendera fuata upepo na maboya ndiyo wanamsifia sababu ya promo zake ...ukiwauliza wataje nyimbo kali za huyu demu halafu wamlinganishe na hao wengine wanabwabwaja tuuu...

Kuna
CASH MADAME (it's abt swaggs & money, go vee go)

NIROGE,

NEVER EVER (Kama Shakira yani)

WET yupo na GNAKO (nikiwa high and baby mama shake her booty on me, awww)

SIRI yupo na Barnaba (My mom's fav song)

CHAUSIKU yupo na Barnaba (lol, comedy tupu)

DUME SURUALI yupo na FA (Anko Magu's fav song)

JUU yupo na JUX?

BOUNCE yupo na MAUA SAMA (in love with the vocals and the video like Monica & Brandy)

KISELA yupo na Mr. Peter wa Psquare.
and soooooo much more.

NB: Unahitaji uwe na swaggs za kimamtoni ili kumuelewa huyu CIARA wa Bongoland.
 
nilikua kama ww mpk pale nilivyoanza kutumiwa nyimbo zake na mwanadada mmoja nilikua nikimfukuzia sana.. dah ikawa mipango ya Mungu nikajikuta mlemle!!
 
Nasubiri Beyonce afe ndio labda nitaanza kumsikiliza huyu money wenu
 
Ukiona hivyo ujue umeshaanza kuzeeka cha msingi washa radio one sikiliza kipindi cha Hizi Nazo.
 
Au lugha gongana maana nyimbo zake full kizungu na ameimba ya kihindi
Nampenda sauti mavazi yake
 
Tatizo uvaaji wake anaboa kila nyimbo anawaza kukaa uchi na sijui sabbu gani huyu mtu hafungiwi
 
Kinachomsaidia kukaa uchi na ung'eng'e jomba ila yuko kawaida sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…